Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza vs Coastal Union

Simba Power Ms.jpeg Wachezaji wa Simba

Thu, 21 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba SC watakuwa na kibarua kizito cha kusaka alama tatu mbele ya Wagosi wa Kaya Timu ya Coastal Union kutoka Tanga.

Mchezo huo wa mzunguko wa tatu wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi) utapigwa majira ya saa 10:00 jioni katika Uwanja wa Uhuru.

Simba wanahitaji alama tatu kwa kila namna ili kufukuzana na kinara wa Ligi Young Africans wenye alama 9 baada ya michezo mitatu,

Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: