Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza vs Kagera

Simba Vs Kageraaaaaa #NBCLIGIUPDATES: Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza vs Kagera

Fri, 15 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi, Simba SC wanashuka dimbani muda mchache kutoka sasa kuwavaa Kagera Sugar mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi).

Mchezo huo utapigwa katika Uwqanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam huku ukiwa ndio mchezo wa kwanza wa Ligi kwa Kocha mpya wa Simba Abdelhak Benchikha.

Simba wanakamata nafasi ya tano katika msimamo wa Ligi wakiwa na alama 19, hivyo watahitaji kusaka ushindi katika mchezo wa leo ili kusaogea katika nafasi nzuri na kupunguza pengo la alama kati yake kinara Azam.

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza mchezo wa leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: