Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIUPDATES: 56' Singida 1-1 Simba

Deus Kaseka Goal.jpeg Deus Kaseke, Mfungaji wa bao la kusawazisha la Singida

Sun, 8 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Singida Big Stars Deus Kaseke anawainua Singida kwa bao la kusawazisha katika Uwanja wa CCM Liti Singida.

Winga wa Singida Big Stars Deus Kaseke anawainua Singida kwa bao la kusawazisha katika Uwanja wa CCM Liti Singida. Kaseke anafunga goli hilo akimaliza pasi ya Starika Elvis Rupia na kufanya matokeo kuwa bao 1-1 mpka sasa dakika ya 56.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: