Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIDATES: Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza vs Tz Prisons

Che Maloneeeeeeee.jpeg Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza vs Tz Prisons

Wed, 6 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba wanashuka Dimbani katika Uwanja wa Jamhuri Morogoro kuwakaribisha maafande wa Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Simba wametoka kufanya vyema katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa wakiichapa Jwaneng Glaxy mabao 6-0 na kufuzu hatua ya Robo Fainali.

Kikosi cha Simba SC kinachoanza dhidi ya Prisons

Manula

Kapombe

Israel

Inonga

Kennedy

Babacar

Ngoma

Mzamiru

Chama

FRED

Kibu D

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: