Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIDATES: Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza vs KMC

Simba Squad.jpeg #NBCLIGIDATES: Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza vs KMC

Sat, 23 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba kinarudi Dimbani leo katika Uwanja wa Chamazi kukipiga na KMC mchezo wa Ligiu Kuu Tanzania Bara.

Simba inaingia katika mchezo huo ikiwa na kumbukumbu nzuri baada ya kutoka kushinda mchezo mgumu dhidi ya Wydad mchezo wa Klabu Bingwa Afrika.

Simba inahitaji alama tatu hii leo mbele ya KMC ili kuweka hai matumaini ya kufukuzana na Azam vinara na Yanga.

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza mchezo wa leo;

Ayoub

Kapombe

Zimbwe Jr

Inonga

Che Malone

Ngoma

Kanoute

Saido

Kibu D

Onana

Bocco

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: