Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIDATES: Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza vs Ihefu

Simba Squad Warm Up.jpeg #NBCLIGIDATES: Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza vs Ihefu

Sat, 28 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba SC leo Oktoba 28 watakuwa na kibarua mbele ya Mbogo Maji kutoka kule Mbeya Kikosi cha hefu mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Simba wanahitaji alama tatu ili kuifukuza Yanga inayoongoza msimamo wa Ligi ikiwa na alama 18 lakini wakiwa wamecheza michezo mingi zaidi kuliko Simba waliocheza mechi tano.

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza mchezo wa leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: