Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIDATES: Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza vs Coastal Union

Simba Vs Coastal Unioni Tz Hiki hapa Kikosi cha Simba kinachoanza vs Coastal Union

Fri, 9 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba SC wako katika Uwanja wa Uhuru wakifunga pazia la Ligi Kuu kwa kuwakaribisha Wagosi wa Kaya , Coasta Union kutoka kule Mkoani Tanga.

Simba wanaingia katika mchezo huo wakiwa tayari washakubali kuachia Ubingwa kwa mtani wake Yanga.

Lakini kubwa zaidi kuna nafasi kwa kiungo wake wa Kimataifa wa Burundi Saidi Ntibanzonkiza kuibuka na kiatu cha ufungaji bora kwani mpaka sasa amechwa nbao moja tu na Fiston Mayele aliepo Kileleni.

Hiki hapa kikosi cha Simba kilichoanza mchezo wa leo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: