Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzee wa Kudere na ishu ya Chasambi na Simba

Ladack Chasambi Vv Mzee wa Kudere na ishu ya Chasambi na Simba

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka Wasafi Media, Ricardo Momo ametoa siri na kusema tayari Simba SC imekamilisha usajili wa miaka mitatu na kiungo mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Ladack Chasambi.

Momo amefichua kuwa nyota huyo amesajiliwa kwa kiasi cha Sh. Mil 170, Mtibwa Sugar ikipata Sh. Mil 70, Ladack akichukua Sh. Mil 100 na mshahara wa Sh. Mil Tatu kwa Mwezi.

“Haya sio mambo ya siri Sheikh. Yule dogo tayari ameshamalizana na Simba SC na dirisha dogo atajiunga nao,” alisema Momo.

Nyota huyo hivi karibuni alijumuishwa katika kikosi cha Taifa Stars kwa ajili Michezo ya Niger na Morroco.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: