Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzamiru Yassin bado ana jambo lake Msimbazi

Mzamiru Aanza Kiungo wa Simba, Mzamiru Yassin

Tue, 30 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Simba inasema Klabu hiyo imeamua kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja kiungo wao Mzamiru Yassin maarufu kama kiungo Punda, ili aendelee kukipiga Msimbazi.

Taarifa kutoka ndani ya Klabu ya Simba inasema Klabu hiyo imeamua kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja kiungo wao Mzamiru Yassin maarufu kama kiungo Punda, ili aendelee kukipiga Msimbazi. Mzamiru amekuwa na wakati mgumu siku za karibuni kupata namba katika kikosi cha Simba lakini amekuwa na kiwango bora kila anapopata nafasi kikosini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: