Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwigulu awapa neno Simba SC kuelekea AFL

Mwigulu Simba Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba kupitia akaunti yake ya Instagram amewaomba Watanzania kuwa wamoja katika mechi ya kesho Oktoba 20, Simba SC Tanzania dhidi ya Al Ahly SC ya michuano mipya ya African Football League.

Mechi hiyo itapigwa Uwanja wa Mkapa saa 12:00 jioni, Mwigulu amesema moja ya kipaumbele kama Mtanzania ni kuiombea Simba.

"Tuwaombee Simba, tuwaombee Simba, tuandike historia ya Taifa letu," -

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: