Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwigulu: Singida tulimsajili Manula, lakini tuliwaachia Simba

Mwigulu X Manula Mwigulu: Singida tulimsajili Manula, lakini tuliwaachia Simba

Thu, 16 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

“Wakati Simba wanamsajili Manula sisi Singida United tulishamsajili Manula akitokea Azam.

“Manula alikuja akaniambia tulishakubaliana kila kitu lakini nimepata ofa kutoka Simba na kwa kuwa Simba inashiriki mashindano ya Champions League naomba niende Simba.

“Ingekuwa chuki kama za mashabiki wasiokuwa wanamichezo tungemkatalia lakini tulimwambia nenda, Asante Kwasi ametoka hapa Nyumbani Kwangu kwende kusaini Simba akiwa tayari ameshasaini Singida akitokea Lipuli,” Waziri wa Fedha, na mdau wa michezo, Mwigulu Nchemba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: