Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtenje Albano aomba kuondoka Coastal, Simba wanahusika?

Mtenje Albano Vv.jpeg Mtenje Albano

Mon, 10 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Mkabaji wa Coastal Union, Mtenje Albano ameomba kuondoka Coastal Union, huku ikielezwa yupo mbioni kutua Simba kuchukua nafasi ya Jonas Mkude aliyepewa ‘Thank You’.

Kiungo Mkabaji wa Coastal Union, Mtenje Albano ameomba kuondoka Coastal Union, huku ikielezwa yupo mbioni kutua Simba kuchukua nafasi ya Jonas Mkude aliyepewa ‘Thank You’. Nahodha huyo wa wagosi wa kaya ndiye mchezaji mkongwe aliyekuwa amebaki kwenye kikosi hicho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: