Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msigwa: Fedha za "Goli la mama" zinarudi hatua ya Makundi (+Video)

Msigwa Pic Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan amerudisha utaratibu wa motisha wa kununua mabao ambao kuanzia hatua ya makundi bao moja litanunuliwa Sh5 milioni, robo Sh10 milioni na nusu Sh20 milioni.

Tanzania itawakilishwa na Simba na Yanga katika hatua hiyo baada ya kufuzu.

Msikilize Msigwa akizungumza hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: