Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkataba wa Chama wafika ukingoni Simba SC , atimkia Zambia

Chama Zambiaaaa Clatous Chama

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mara baada ya kumalizika kwa Mkataba wake na Klabu ya Simba,Clatous Chama ameanza safari ya kurejea Nyumbani kwao Zambia kwaajili ya mapumziko.

Mara baada ya kumalizika kwa Mkataba wake na Klabu ya Simba,Clatous Chama ameanza safari ya kurejea Nyumbani kwao Zambia kwaajili ya mapumziko. Chama kwa sasa hana timu na kuna vilabu kadhaa vimekuwa vikimnyatia kumsajili huku Simba wakipambana abaki Klabuni hapo na bado hakuna taarifa rasmi kuwa amesaini Mkataba mpya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: