Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Miquissone "bye bye" Msimbazi, Mshahara wake kikwazo

Jose Luis Miquissone Noma.jpeg Jose Luis Miquissone

Sun, 12 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tetesi kutoka katika Klabu ya Simba SC,zinasema kuna uwezekano mkubwa wa Klabu hiyo kuachana na nyota wake Luis Jose Miquissone "KONDE BOI".

Chanzo kinasema, "matarajio ya klabu na Uongozi wakati tunamrejesha Miquissone yalikuwa makubwa na huduma aliyotupatia na kwa bahati mbaya gharama na mshahara wake ni mkubwa kwa hivyo ni bora tukaachana naye na kutafuta mchezaji mwingine.”

Kazi kwenu Wananchi, Konde Boy anabaki nchini au aondoke?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: