Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchungaji Mashimo aitabiria Simba kubeba Ngao ya Jamii

IMG 5363 Mashimo.jpeg Mchungaji Mashimo

Sun, 13 Aug 2023 Chanzo: Tanzania

Mchungaji maarufu Jijini Dar es Salaam, Mchungaji Mashimo ameipongeza timu ya Simba SC Kwa Kuchukua Ngao ya Jamii

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe unaosomeka

" Simba Sc Tanzania Hongera Kwa Kuchukua Ngao ya Jamii"

Ikumbukwe Mchezo wa Ngao ya Jamii unachezwa leo jioni lakini Mchungaji Mashimo ameipongeza Simba SC huku muda wa mchezo ukiwa haujawadia.

Hii ni ishara kuwa Mchungaji huyo ameitabiria Klabu ya Simba kuibuka mbabe.

Una maoni gani?

Chanzo: Tanzania
Related Articles: