Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchugaji Mashimo: Simba itaendelea kufungwa mpaka itoe sadaka

IMG 5363 Mashimo.jpeg Mchungaji Mashimo

Wed, 8 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchungaji maarufu Jijini Dar es Salaam anafahamika kama mchungaji Mashimo amesema Klabu ya Simba itaendelea kupoteza michezo yake mpaka pale watakapopeleka Sadaka kwake.

Mashimo aliitabiria Simba kupoteza mbele ya Yanga na sasa anasema bila Sadaka hawataonja ladha ya ushindi.

"Bwana Asifiwe, Simba itaendelea kujiimbia wimbo wa parapanda mpaka pale uongozi wake utakaponilipa pesa zangu ikiwa pamoja na Ahmed Ally kuniomba Radhi."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: