Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchugaji Mashimo: Bila Sadaka Simba hawatoboi kwa Ahly

IMG 5363 Mashimo.jpeg Mchungaji Mashimo

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchungaji maarufu Jijini Dar es Salaama, Mchungaji Mashimo amesema kuwa kama Simba SC hawataenda kutoa Sadaka ya shukran kwake basi watafungwa na Al Ahly katika Mchezo wa AFL.

Mchungaji maarufu Jijini Dar es Salaama, Mchungaji Mashimo amesema kuwa kama Simba SC hawataenda kutoa Sadaka ya shukran kwake basi watafungwa na Al Ahly katika Mchezo wa AFL. Simba watakuwa na mchezo wa ufunguzi wa michuano ya African Footbal League Oktoba 20 dhidi ya Al Ahly katika Uwanja wa Mkapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: