Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbabe wa Yanga "atafunwa" na Simba kwa Mkapa

Phirii Goal.jpeg Moses Phiri, mfungaji wa bao la ushindi la Simba

Sat, 28 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi, Simba SC wameendeleza nyakati za furaha baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mchezo huo unawafanya Simba kupinguza pengo la alama dhidi ya Yanga walio kileleni mwa msimamo wa Ligi na kufanya wote kuwa na alama 18 huku Simba akiwa na mchezo mmoja mkononi.

Mabao ya Simba katika mchezo wa leo yamefungwa na Jean Baleke aliefunga bao la kwanza na Moses Phiri kipindi cha Pili.

Bao la pekee la Ihefu limefungwa na Mgunda Kipindi cha kwanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: