Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mazoezi ya mwisho ya Simba kabla ya kuwavaa Waarabu

Simba Mazoezi Tr Mazoezi ya mwisho ya Simba kabla ya kuwavaa Waarabu

Fri, 28 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji wa Simba wakiwa mazoezini leo Uwanja wa Mohamed V Jijini Casablanca nchini Morocco kujiandaa na mchezo wa marudiano Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mabingwa watetezi, Wydad AC kesho.

Mechi ya kwanza Simba ilishinda 1-0, bao la mshambuliaji Mkongo Jean Othos Baleke Jumamosi ya wiki iliyopita Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mshindi wa jumla atakutana na mshindi wa jumla katí ya CR Belouizdad ya Algeria na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini zinazorudiana Uwanja wa Loftus Versfeld mjini Pretoria.

Mechi ya kwanza Mamelodi ilishinda 4-1 Uwanja wa Nelson Mandela mjini Baraki, Algiers, Algeria.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: