Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mayele aipeleka Yanga fainali ya Kombe la Shirikisho ASFC

Yanga Fainali Er Mayele aipeleka Yanga fainali ya Kombe la Shirikisho ASFC

Sun, 21 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imeingia Fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) kwa kuifunga Singida Big Stars goli 1-0 kwenye Uwanja wa Liti, Singida mfungaji akiwa ni #FistonMayele.

Yanga inatarajiwa kuvaana na #AzamFC katika Mchezo wa Fainali unaotarajiwa kuchezwa Mkoani #Tanga.

Yanga inajiweka katika nafasi nzuri ya kuweka historia ya kutwaa mataji matatu makubwa, tayari imebeba Ligi Kuu Bara na pia itacheza Fainali ya Kombe la Shirikisho la Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: