Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa wa Simba, Wajumbe wa Bodi wapiga kikao kizito

Simba X Wajumbe Kikao.jpeg Mastaa wa Simba, Wajumbe wa Bodi wapiga kikao kizito

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya matokeo ya bao 1-1 jana katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas na baadhi ya mashabiki kuelekeza hasira zao kwa wachezaji na viongozi, leo kupitia kurasa rasmi za timh hiyo wameachia picha za kikao cha pamoja kati ya wachezaji wa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba.

Baada ya matokeo ya bao 1-1 jana katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas na baadhi ya mashabiki kuelekeza hasira zao kwa wachezaji na viongozi, leo kupitia kurasa rasmi za timh hiyo wameachia picha za kikao cha pamoja kati ya wachezaji wa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba. Timu hiyo itacheza mechi ya pili hatua ya makundi dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana iliyotoka kushinda ugenini kwa Wydad Casablanca bao 1-0.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: