Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manula atemwa Simba SC

Aishi Manula Is Back.jpeg Aishi Manula

Sun, 22 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinda lango wa klabu ya Simba SC Aishi Manula amebaki nchini wakati kikosi hiko kikisafiri kwa ajili ya mchezpo wa mkondo wa Pili wa michuano ya African Football League dhidi ya Al Ahly.

Aishi aliuokosa mchezo wa Mkondo wa kwanza uliopigwa Oktoba 20 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Ally Salim anapewa nafasi kubwa ya kudaka tena katika mechi hiyo ya marejeano, Pia yupo Lakred pamoja na Hussein Abel kwenye kikosi hicho kilichosafiri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: