Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mangungu agoma kuachia ngazi Simba

Murtaza Mangungu Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu

Mon, 15 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika kikao kilichofanyika Juzi Jumamosi, Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu alishauliwa kujiuzulu katika nafasi hiyo, lakini hadi muda huu ameshikilia msimamo wa kutokuachia ngazi katika nafasi hiyo.

Katika kikao kilichofanyika Juzi Jumamosi, Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu alishauliwa kujiuzulu katika nafasi hiyo, lakini hadi muda huu ameshikilia msimamo wa kutokuachia ngazi katika nafasi hiyo. Malalamiko yamekuwa mengi ndani ya Klabu ya Simba baada ya mfululizo wa matokeo mabovu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: