Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mangungu: Tutashughulika na wanaofanya Propaganda juu yetu

Mangungu Murtaza 1140x640 Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu

Sat, 14 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuelekea mchezo wa ufunguzi wa wa African Football League Klabu ya Simba kupitia kwa Mwenyekiti wake Murtaza Mangungu amesema watashughulika na wale wote wanaofanya propaganda kwenye mitandao kuhusu klabu yao.

Klabu ya Simba imefanya uzinduzi wa jezi zake mpya watakazozitumia katika michezo ya AFL Juma hili lakini maneno yamekuwa ni mengi juu ya Jezi hizo kuwa hazikuwa na ulazima.

Klabu ya Simba itacheza mchezo wake wa ufunguzi dhidi ya Al Ahly katika uwanja wa Taifa October 20 mwaka huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: