Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mangungu: Mchakato wa uwekezaji Simba unahitaji uelewa mpana (+Video)

Murtaza Mangungu Jana Na Leo Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu

Mon, 17 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati kukiwa na taarifa tofauti tofauti juu ya kukamilika kwa mchakato wa Uwekezaji katika Klabu ya Simba SC.

Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Murtaza Mangungu amesema kuwa ili kuufahamu mchakato wa uwekezaji katika klabu ya Simba basi inatakiwa uwe mtu mwenye uelewa mpana sana, aidha Mangungu ametoa ufafanuzi kabla ya kujibu iwapo mchakatao umekamilika au la.

Msikilize Mangungu hapa chini akizungumza;

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi FM (@wasafifm)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: