Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mangungu: Kila mwezi tunapata faida ya Bilioni 20 za Mo Dewji (+Video)

Mr Murtaza Mangungu Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu

Wed, 19 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati wengi wakihoji zilipo Bilioni 20 zilizowekwa na mwekezaji wa Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji Mo.

Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu ameweka wazi akaunti zilipo Bilioni 20.

Akizungumza kupitia Wasafi FM, Mangungu amesema;

“Iliwekwa na malengo yake, kwamba inaenda kwende deposit ambayo kila mwisho wa mwezi tunapata faida”

Msikilize zaidi Mangungu akizungumza kwenye Video hapa Chaini;

View this post on Instagram

A post shared by Wasafi FM (@wasafifm)



Je Mwanasimba una maoni gani kutokana na kauli ya Mwenyekiti? Tupe Commeny yako
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: