Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mangungu: Kampeni inafanywa kuumiza Wachezaji wetu

Mangungu Inongaaaa Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu

Fri, 22 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu amedai kuwa Mchezaji wao Henock Inonga ameumizwa kwa makusudi na Mchezaji wa Coastal Union Haji Ugando katika mchezo wa jana.

Akizungumza baada ya kumalizika kwa mchezo huo Mangungu amesema;

“ Kuna kampeni inafanywa kuumiza wachezaji wetu wa Simba ili Simba isicheze vizuri kama walivyomuumiza Moses Phiri"

Je unadhani Mangungu yuko sahihi kuwa Simba wanafanyiwa hujuma? Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: