Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mangungu: Atakaetaji Timu 5 ambazo hazijafeli katika usajili kesho najiuzulu

Mangungu X Sawadogo Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu

Thu, 13 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati anajibu kuhusu maoni ya mdau aliyehoji viwango duni vya baadhi ya wachezaji wanaosajiliwa na Simba Mangungu amesema

“Yeye amezungumzia wachezani wawili Sawadogo na Jobe , bahati mbaya Sawadogo wakati anakuja pre season aliumia , lakini alikuwa anatoka kwenye timu yao ya Taifa sio mchezaji wa kiwango kidogo”

“Mimi ninachosema hapa atokee mtu anipe timu 5 ambazo wamesajili na wachezaji wote waliosajiliwa wamefanya vizuri,Wallah mimi wala sisubiri kitu ,kesho najiuzulu”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: