Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mangungu:Anaepiga kelele naihujumu Simba hana hata kadi ya Uanachama

Murtaza Mangungu Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu

Thu, 13 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

“Sisi tunajuana tangu tunakua , haiwezekani mtu ambaye hana nasaba na Simba akawa ndani ya klabu , mimi nimepata kadi yangu ya uwanachama mwaka 1993”

“Niulize sasa , Kwahiyo tangu mwaka 1993 tuseme nilijipanga nije kuwa mwemyekiti wa Simba ili nije kuihujumu ? anayenishutumu mimi nahujumu Simba yeye hata kadi ya uanachama hana”

Majibu ya Murtaza Mangungu kuhusu kuihujumu Simba SC

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: