Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mafundi wote wa Simba waiwahi Al Ahly

Wachezaji Simba Washindwe Wenyewe Kuwaua Al Ahly, Wamwagiwa Minoti.jpeg Mafundi wote wa Simba waiwahi Al Ahly

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa njema kwa mashabiki wa Simba na Tanzania ni kwamba mastaa wote muhimu wa Mnyama unaowajua leo hii watakuwa mazoezini kujiandaa na mechi dhidi Afircan Footbal League ya Al Ahly.

Traaifa kutoka ndani ya klabu hiyo zinasema kuwa, ilibidi vigogo wa Simba wafanye harakati kubwa kuhakikisha kuwa mastaa sita wa kikosi kwanza cha timu hiyo ambao ni Clatous Chama, Henock Inonga, Kibu Denis, Mzamiru Yassin, Ally Salim, Israel Patrick Mwenda waliokuwa kwenye timu zao za taifa waanarejea kambini.

Michuano hiyo inayohusisha timu nane tu itaanza keshokutwa, Ijumaa, Oktoba 20, 2023 ambapo mchezo wa ufunguzi utakuwa kati ya Simba na AL Ahly majira ya saa 12:00 jioni katika Uwanja wa Mkapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: