Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lakred abakiza siku 17 tu Simba

Ayoub Lakred Asepa Ayoub Lakred

Thu, 13 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkataba wa Ayoub Lakred (28) na Simba unamalizika June 30 mwaka huu hivyo amebakiza siku 17 kuwa huru.

Golikipa huyo raia wa Morocco alijiunga na Simba kwa mkataba wa mwaka Mmoja huku akipewa “signing fee” ya $200,000 sawa na Tsh 523,000,000.

Klabu ya Union de Touarga ya Morocco inawinda vikali saini yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: