Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwa Baleke! shida iko palepale (+Video)

Jean Baleke Oooi Jean Baleke

Mon, 10 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Kimataifa wa DR Congo na Klabu ya Simba SC ,Jean Baleke amerejea Nchini akitokea DR Congo alikoenda kubadilisha Passport yake ya kusafiria ambayo ilikuwa imejaa.

Mapema mwishoni mwa juma lililopita Baleke aliandika ujumbe katika ukurasa wake wa Instagram akionekana anakwenda Congo kwao huku akiaga Tanzania.

Jambo hilo lilizua mtafaruku mkubwa kwa wadau wa Soka lakini mapema leo amewasili Jijini Dar es Salaam tayari kwa safari ya Uturuki.

Mtazame Baleke hapa chini akiwasili Dar es Salaam;

View this post on Instagram

A post shared by JEAN OTHOS BALEKE (@jean_baleke_04)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: