Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kuiona Wydad vs Simba kule Morocco 400,000

Wydad Mechi Ya Ligi Kuiona Wydad vs Simba kule Morocco 400,000

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wydad Casablanca imetangaza viingilio vya mechi yao ya tatu hatua ya makundi dhidi ya Simba ikipigwa nchini Morocco ambapo kiingilio cha chini ni Sh20,000 kingine ni Sh102,500 na cha juu ni Sh478,000.

Wydad Casablanca imetangaza viingilio vya mechi yao ya tatu hatua ya makundi dhidi ya Simba ikipigwa nchini Morocco ambapo kiingilio cha chini ni Sh20,000 kingine ni Sh102,500 na cha juu ni Sh478,000. Mechi hiyo itapigwa Jumamosi saa 4:00 usiku katika Uwanja wa Grand Marrakech.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: