Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kuiona Simba vs ASEC Mimosas buku 5 tu

Mashabiki Wa Simba Kuwa Wageni Rasmi Dhidi Ya ASEC Mimosas Kuiona Simba vs ASEC Mimosas buku 5 tu

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba imetangaza viingilio vya mchezo wao wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Asec Mimosas utakaochezwa siku ya Novemba 25, 2023 katika dimba la Benjamin Mkapa.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klanbu ya Simba, Ahmed Ally, amebainisha kuwa viingilio kwa mzunguko ni Tsh 5000, VIP C Tsh 10,000, VIP B Tsh 20,000, VIP A Tsh 30,000 huku viingilio kwa Platinum vikiwa Tsh 150,000.

Miamba hiyo ya Ivory Coast inatarajiwa kutua Nchini Novemba 23, 2023 wakiwa na msafara wa watu 31. Waamuzi wa mchezo huo utakaopigwa majira ya saa 10:00 jioni watatoka Nchini Misri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: