Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha wa viungo Simba atua Singida FG

Kelvin Mandle Again Kelvin Mandla

Mon, 4 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Singida Big Stars imekamilisha Mazungumzo na Kocha wa Viungo raia wa Afrika Kusini Kelvin Mandla.

Kelvin ambaye amewahi kufanya kazi na vilabu kadhaa vikubwa Afrika Vikiwepo Kazier Chiefs , Orlando Pirates na Simba Sc.

Mandla anajiunga na benchi la Ufundi linaloongozwa na Kocha Mpya wa klabu hiyo raia wa Ujerumani Ernst Middendrop.

Hili benchi la ufundi jipya la klab ya Singida Big star 23/24.

Kocha mkuu Ernst Middendorp

Msaidizi wake Thabo Senong

kocha wa viungo Kelvin Mandla

Kocha wa makipaThembalethu Moses

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: