Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha mpya Simba uso kwa uso na Matola, Cadena

Benchikha Kikao Kocha mkuu mpya Abdelhak Benchikha akutana na benchi la ufundi

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu mpya Abdelhak Benchikha leo asubuhi amekutana kwa mara ya kwanza na benchi la ufundi la Timu ya Simba SC na kufanya kikao kifupi.

Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Imani Kajula pia alishiriki katika tukio hilo.

Timu ya Simba SC ilikuwa chini ya Makocha wa muda, Daniel Cadena na Seleman Matola.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: