Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Simba awapiga mkwara Singida FG

Robertinho 5.jpeg Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’

Sun, 8 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ alisema, japo hawajapata muda wa kutosha kujiandaa na mchezo wa leo dhidi ya Singida Big Stars, lakini wanaingia kwenye mchezo huo wakitaka kuendeleza ubora wao kwa kucheza bila presha lakini wakiwa na mipango ya kutengenza matokeo.

Kocha wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ alisema, japo hawajapata muda wa kutosha kujiandaa na mchezo wa leo dhidi ya Singida Big Stars, lakini wanaingia kwenye mchezo huo wakitaka kuendeleza ubora wao kwa kucheza bila presha lakini wakiwa na mipango ya kutengenza matokeo. “Hii ni mechi ya pili msimu huu tunakutana na Singida, ni timu kubwa ina wachezaji bora, itakuwa ni mechi ngumu lakini tunahitaji ushindi, hatujapata muda wa kutosha kujindaa na hii mechi tutamia falsafa yetu kutengeneza ushindi mwingine muhimu, “alisema Robertinho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: