Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Simba alamba dili Libya

ZORAN MKO Zoran Maki

Wed, 3 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa zamani wa Simba SC, Zoran Manojlovic ‘Maki’ ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Al Hilal SC ya Nchini Libya.

Kocha wa zamani wa Simba SC, Zoran Manojlovic ‘Maki’ ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Al Hilal SC ya Nchini Libya. Zoran ambaye alikuwa kocha wa Al Ittihad ya Misri amewahi kuvinoa vilabu vya Primeiro de Agosto ya Angola, Wydad AC ya Morocco, Al-Hilal ya Sudan, CR Belouizdad ya Algeria na Al-Tai ya Saudi Arabia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: