Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Arsenal kuishuhudia Simba vs Ahly kwa Mkapa

Arsene Wenger Predict Kocha wa Zaman wa Arsenal, Arsene Wenger

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ugeni wa viongozi wa soka wapatao 250 kutoka maeneo tofauti duniani unatarajiwa kuanza kuingia leo Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki tukio la uzinduzi wa mashindano ya African Football League (AFL) kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Oktoba 20 litakalohusisha mechi baina ya Simba na Al Ahly.

Ugeni wa viongozi wa soka wapatao 250 kutoka maeneo tofauti duniani unatarajiwa kuanza kuingia leo Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki tukio la uzinduzi wa mashindano ya African Football League (AFL) kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Oktoba 20 litakalohusisha mechi baina ya Simba na Al Ahly. Imethibitishwa Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Kitengo cha Maendeleo ya soka Duniani atakuwepo kwa Mkapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: