Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kipa Simba kutolewa kwa Mkopo

Ally Feruzi Kipa chipukizi wa Simba, Ahmed Feruzi

Tue, 25 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kipa chipukizi wa Simba, Ahmed Feruzi inaelezwa kwamba atatolewa kwa mkopo kati ya Kagera Sugar au KMC, lengo ni kuhakikisha anapata muda wa kucheza na uzoefu.

Kipa chipukizi wa Simba, Ahmed Feruzi inaelezwa kwamba atatolewa kwa mkopo kati ya Kagera Sugar au KMC, lengo ni kuhakikisha anapata muda wa kucheza na uzoefu. Imekuwa ngumu kwa Feruzi kupata nafasi ya kucheza mbele ya makipa waliopo Simba, Ayoub Lakred, Ally Salim na Hussein Abel ambao angalau wanapata nafasi ya kucheza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: