Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiongozi Simba SC amtembelea Proffesor Jay

Kajula X Jay Kiongozi Simba SC amtembelea Proffesor Jay

Mon, 25 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba SC Tanzania, Iman Kajula amemtembelea Professor Jay na kumjulia hali nyumbani kwake.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba SC Tanzania, Iman Kajula amemtembelea Professor Jay na kumjulia hali nyumbani kwake. Kajula ametumia fursa hiyo kufikishia salam za viongozi na mashabiki wa Simba ambao wanathamini mchango wake mkubwa kama shabiki wa Simba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: