Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kibu Denis: Na sisi pia tunaumia, hizi ni nyakati mbaya

Kibu Dennisa CAF Straika wa Simba SC, Kibu Denis

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

"Nikiri kwenye michezo yetu mitatu hatujafanya vizuri jambo ambalo linatuathiri hadi sisi wachezaji, na kitendo hiki kinatuumiza sana, tunajua hadi nyie mashabiki zetu wa Simba SC hamjapendezwa na haya matokeo kwasababu sio kawaida."- amesema mshambuliaji wa Simba SC, amesema Kibu

"Nikiri kwenye michezo yetu mitatu hatujafanya vizuri jambo ambalo linatuathiri hadi sisi wachezaji, na kitendo hiki kinatuumiza sana, tunajua hadi nyie mashabiki zetu wa Simba SC hamjapendezwa na haya matokeo kwasababu sio kawaida."- amesema mshambuliaji wa Simba SC, amesema Kibu "Kwenye maisha hauwezi kuwa na nyakati nzuri siku zote lazima utapitia misukosuko na siku zote kitu kizuri kikipitia kwenye mambo magumu halafu kikafanikiwa kujitoa kwenye hayo magumu ndipo kitaonekana hiki kitu ni kizuri, niwaombe mashabiki zetu kwenye hiki kipindi kigumu lazima tuwe pamoja."- ameongeza kusema Kibu Denis

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: