Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kennedy Juma mlango uleee Msimbazi

Kennedy Juma Simba SC.jpeg Kennedy Juma

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wagosi wa Kaya, Coastal Union wameanza hesabu za kumnasa beki wa Simba, Kennedy Juma kwa mkataba wa mkopo wa mwaka mmoja.

Hatua ya Coastal inatokana na kuondokewa na beki wa kikosi hicho, Lameck Lawi ambaye tayari msimu ujao atajiunga na Simba baada ya kufikia makubalino baina ya timu hizo na kusainishwa kandarasi ya miaka miwili.

Kennedy Juma msimu uliopmalizika alionekana kuigharimu Simba mara kwa mara na wengi walipendekeza Simba waachane nae.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: