Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kapombe kuikosa Dabi ya Kariakoo

Shomari Kapombe Msala.jpeg Mlinzi wa kulia wa Simba, Shomari Kapombe

Fri, 19 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa kulia wa Simba SC Shomari Kapombe ataukosa mchezo wa kesho wa Derby dhidi ya Young Africans kutokana na majeraha.

Kapombe anasumbuliwa na majeraha ya goti hivyo ameondolewa kwenye mpango wa mechi ambayo itapigwa kesho Aprili 20.

Je unadhani Simba itapata pigo kwa kumkosa Kapombe mchezo wa Kesho? Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: