Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanoute kinara wa mabao African Footbal League

SAdio Kanoute Kinara Wa Mabao.jpeg Kanoute kinara wa mabao African Footbal League

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa klabu ya Simba Kibu Denis Prosper ndiye mchezaji pekee raia wa Tanzania aliyefunga goli kwenye michuano ya African Football League hadi hivi sasa.

Sadio Kanoute ni miongoni mwa wanaoongoza kwa kuwa na magoli mengi zaidi kwenye michuano ya African Football League.

1. Sadio Kanoute Goal 2

2. Kahraba Goal 2

3. Reda Sliman Goal 1

4. Marcelo Allende Goal 1

5. Kibu Denis Goal 1

6. Tabeho Maseko Goal 1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: