Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanoute alivyomkalisha Dieng Cairo

Alio Di Kanoute alivyomkalisha Dieng Cairo

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Al Ahly na Timu ya Taifa ya mali, Aliou Dieng ameshindwa kutamba mbele ya Sadio Kanoute katikati ya Dimba katika mechi zote mbili za African Football League.

Dieng alionekana mfalme pale kati kabla ya Kanoute kuingia Dimbani baada ya kuanzisha shambulizi pale Lupaso na Reda Slim akaweka Mpira nyavuni.

Baada ya kuingia Kanoute kuingia Simba wakakamata eneo hili na kufunga mabao mawili huku Sadio Kanoute akifunga bao.

Jana pale Cairo International Stadium Sadio Kanoute amecheza Kwa nidhamu ya Hali ya juu sana akimnyima uhuru Sadio Kanoute kuanzisha mashambulizi kuelekea katika lango la Simba Sc.

Jambo kubwa Kwa Kanoute katikisa nyavu za Al Ahly mara mbili ndani ya dakika 135 alizocheza dhidi ya Al Ahly Sporting Club.

Ikumbukwe kuwa, Kanoute na Dieng wote ni wachezaji wa Timu ya Taofa ya Mali lakini Dieng amekuwa akipata nafasi zaidi ya kuitwa kwemnye kikosi hicho badala ya kanoute.

Pacha bora kwa Simba kwa sasa ni Kanoute wakisimama na Fabrice Ngoma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: