Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: Hivi hapa vikosi vinavyoanza leo Simba vs Power Dynamo

Simba Vs Power Dynamo #KLABUBINGWA: Hivi hapa vikosi vinavyoanza leo Simba vs Power Dynamo

Sat, 16 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi Simba SC wanashuka Dimbani leo Septemba 16 kuwavaa Power Dynamos nchini Zambia.

Mchezo huo wa kuwania kufuzu kwa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Agfrika utapigwa majira ya saa 10:00 Jioni katika Uwanja wa Levy Mwanawasa nchini Zambia.

Simba wana rekodi nzuri kwa siku za hivi karibuni dhidi ya Power Dynamos kutoka Zambia.

Hiki hapa kikosi cha Simba SC kinachoanza mchezo wa leo;

Lakred

Kapombe

Zimbwe Jr

Che Malone

Inonga

Kanoute

Mzamiru

Chama

Kibu

Onana

Phiri

Kwa upande wa wenyeji wataanza na kikosi hiki

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: