Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KLABUBINGWA: Hiki hapa kikosi cha Simba vs Jwaneng, Kanoute nje

Che Maloneeeeeeee.jpeg Hiki hapa kikosi cha Simba vs Jwaneng, Kanoute nje

Sat, 2 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba wanashuka dimbani muda mchache kutoka sasa kusaka tiketi ya kufuzu kwa hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Simba wanaikaribisha Klabu ya Jwaneng Galaxy kutoka nchini Botswana na kila timu inahitaji ushindi katika mchezo huu muhimu.

Hiki hapa Kikosi cha SIMBA SC dhidi ya Jwaneng leo;

Ayoub Lakred

Shomary Kapombe

Mohamed Hussein

Henock Inonga

Che Malone

Babacar Sarr

Fabrice Ngoma

Kibu Denis

Ssid Ntibazonkiza

Clatous Chama

Pa Omar Jobe

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: