Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jwaneng waanzisha vurugu kwa Mkapa, wataka kumwaga majivu (+Video)

Kocha Jwaneng.jpeg Kocha Mkuu Jwaneng Galaxy Morena Ramoreboli

Sat, 2 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Mchezo wa kukamilisha hatua ya Makundi ukikaribia kuanza kati ya wenyeji Simba dhidi ya wageni Jwaneng Galaxy kutoka Botswana tayari vurugu kubwa zimeanza kujitokeza.

Kashehse hilo limetokea pale ambapo baadhi ya maofisa wa Timu ya Jwaneng walipotaka kumwaga majivu katika kona za Uwanja kisha walinzi kuwagomea ndipo kulipoibuka vurugu kubwa.

Tazama Video hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: